Kuripoti huduma kwa Demo Sevenseas swa

Huduma ya kutoa taarifa ya Lantero ni utaratibukwa wafanyakazi kuripoti utovu wa nidhamu katika shirika lao. Mfumo wa kuhakikisha matangazo yanayotolewa ni ya kitaalamu na kwa mchakato wa wakati muafaka.

Bonyeza kifungo ili kuandikisha taarifa – tafadhali kuwa maalumu iwezekanavyo.

Faili ripoti sasa

Wakati kuandikisha taarifa ni muhimu kusaidia uchunguzi kwa kuwa maalumu iwezekanavyo.

Watoaji taarifa hupokea maoni kwa barua pepe ya siri na anwani bila utambulisho.

Uchunguzi hufanfanywa na timu spesheli ambayo huteuliwa kutoka ndani ya kampuni, Kukiwa na hatari ya migogoro ya masilahi, na wataalamu huru kutoka nje.

Kama taarifa hazitoshi, wachunguzi wanaweza kuomba maelezo ya ziada. Ili kuepuka kuchelewa kwa usindikaji ni muhimu kuandikisha taarifa hizo haraka iwezekanavyo.

Maombi ya habari za zianda au maoni kuhusu matangazo ya taaraifa zilizoshughulikiwa hufichwa – wachunguzi hawawezi kuona majina au anwani ya barua pepe ya watoaji habari.

Huduma hutenganishwa na shirika linalotumiwa kama mfano, ambayo haiwezi kuona maelezo yoyote ya kibinafsi, anwani ya IP (IP Address), au ya barua pepe ya watoaji habari.

Kuwa makini jinsi unavyojieleza, usijitambulishe, Pia fikiria nyaraka zilizoambatanishwa zenye habari ya utumiaji na kuzifuta kabla ya kuzifichua.

Taarifa zote zinazohusiana na matangazo yanayotolewa hufutwa baada ya uchunguzi kukamilika, bila kuacha habari nyeti katika mfumo wetu.

Nani anaweza kuandikisha taarifa?

Huduma hii hasa ni kwa ajili ya wafanyakazi, lakini vile ni vigumu kuhakikisha kwamba watoaji taarifa ni wafanyakazi, taarifa zote huzingatiwa.

Ni huduma ya nini?

Huduma itawezesha waajiri kushughulikia matatizo na utovu wa nidhamu mapema iwezekanavyo. Kutotajwa hutolewa kama nyongeza kwa wafanyakazi ambao wanaweza kujisikia na wasiwasi kuzungumza na mameneja wao.

Ni nani aliye na uwezo wa kuzifikia taarifa?

Timu spesheli iliyochanguliwa huchuguza taarifa.

Uchunguzi hufanywa vipi?

Ni wachunguzi tu wanaweza kuingia katika wovuti na kupata taarifa.

Uchunguzi kuchukua muda gani?

Uchunguzi wa awali kawaida kuchukua muda wa wiki mbili.

Watoaji taarifa wanawezaje kufuatia kesi zinapoendelea?

Baada ya uchunguzi watoaji taarifa huelezwa kwa kifupi jinsi kesi zao zilizoweza kushughulikiwa au sababu za kutupiliwa mbali.

Kama una maswali yoyote, tafadhali wasiliana kwa info@lantero.se. Kwa habari zaidi kuhusu huduma enda www.lantero.se.